G Nako awapongeza WCB Wasafi kwa movement zao

G Nako awapongeza WCB Wasafi kwa movement zao

ma2mbo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
697
Reaction score
326
f5b2cacb950804184d6bd898161cd729.jpg


Mengi yanazungumzwa.. G nako nae katoa ya moyoni.

Mwisho wa siku muziki wetu lazima ukue atuwezi baki palepale kila siku eti sababu tukisonga mbele kuna watu watachukia.
 
Diamond hela anaipata sana kwa show za nje... so haoni hatari kuwapa mashabiki wake wa uswazi show za bure... je wasanii wengine ambao hawana hata show za nje wanapata wapi mtaji wa kufanya show bure?

hapo ushindani unakuwa mgumu sana kwao
 
USHINDANI na ROHO MBAYA......
G.Nako amekazia pale aliposema Ben Pol,Quick Racker,Pro Jay,Dully Sykes na wengineo.Palipo na mazur pasifiwe na sio kuendekeza chuki.Pia lazima kukubali kuzidiwa ili msanii ujifunze vema
 
Kiukweli music ya bongo mazee imekua na inakua.

Industry ipo top now washikilie hapo hapo.
 
Back
Top Bottom