King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
R.I.P.
Chanzo cha kifo,ni ajali au?
Duh hii ichii kila mtu msanii kuanzia rais mwenyewe
R.I.P.
Chanzo cha kifo,ni ajali au?
Tz inakaribia kuwa kama kongo 80% ya watu watakuwa wasanii+wakata maunoDuh hii ichii kila mtu msanii kuanzia rais mwenyewe
Best Naso ni maarufu sana kupitia redio tbc fm. Kuna mtangazaji mmoja wa huko kanda ya ziwa nadhani anaitwa Arungu hua anapiga sana ngoma zao hao underground.Mara ya kwanza kumfahamu best naso ukipanda gari za mkoani ndio ana hiti kwenye mabasi kuliko redioni na youtube.
RIP
Apumzike kwa amani bwana mdogo.Umuofia kwenu wana JF,
Msanii wa Bongo fleva aliyetikisa kanda ya Ziwa G RICO amefariki dunia leo ,G Rico alitamba na nyimbo kama Pole ya moyo, kesho etc. Poleni ndugu, jamaa na marafiki.
🤣🤣🤣🤣🤣Best Naso ni maarufu sana kupitia redio tbc fm. Kuna mtangazaji mmoja wa huko kanda ya ziwa nadhani anaitwa Arungu hua anapiga sana ngoma zao hao underground.
Tbc fm ni maarufu sana huko vijijini kuliko radio station yoyote nchini.
Pia Radio Free Afrika hua inawapa sana promotion hao wasanii.
Best naso ni mkongwe, ana ngoma zake 2 ama 3 kali za huko nyuma zimewahi kupigwa karibu radio station zote nchini.
Chief Hangaya, the great tour guide.................😀Duh hii ichii kila mtu msanii kuanzia rais mwenyewe