Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Supa-pawa (Urusi) amepatwa na nini tena ?Ile mizimu anayoiwahisha kusamehewa kwa Mola ingali ina muandama:
View attachment 2743835
Lile mwamba jembe la Buza Kwa mara nyingine litaendelea kufichama Kremlin.
"Kwamba, hatoki mtu Moscow!"
Hakutokea BRICS Sauzi na sasa hatotia mguu India.
Yatasemwa mengi ila ukweli wa mambo utabakia:
View attachment 2743833
Ama kweli malipo ni hapa hapa duniani.
Aligusa pabaya.
Chezea vingine siyo ICC.