Supa-pawa (Urusi) amepatwa na nini tena ?Ile mizimu anayoiwahisha kusamehewa kwa Mola ingali ina muandama:
View attachment 2743835
Lile mwamba jembe la Buza Kwa mara nyingine litaendelea kufichama Kremlin.
"Kwamba, hatoki mtu Moscow!"
Hakutokea BRICS Sauzi na sasa hatotia mguu India.
Yatasemwa mengi ila ukweli wa mambo utabakia:
View attachment 2743833
Ama kweli malipo ni hapa hapa duniani.
Aligusa pabaya.
Chezea vingine siyo ICC.
Hii ni sababu ya pili, sababu ya kwanza ni kuhofia utawala wake akiondoka hapo nchini kwake maana mambo yanaenda kasi. Hilo la kuogopa ICC halipo, ICC hawana jeshi kwamba watamkamata na vilevile India haiwezi mshikilia Putin.Putin anaondoa mgogoro wa Kidiplomasia na nchi washirika wake ni Akili tu , lakini sio kwamba anashindwa kwenda kokote
Mkuu kwann wasifanye kama ilivyokua kwa Gaddafi au Saddam Hussein? Wavamie tu 🤣🤣🤣!!
Supa-pawa (Urusi) amepatwa na nini tena ?
Mzee ni kwamba Putin hatak kuliamsha dunia nzima!! Kaa ukijua ana backup kwa ma homie Kim na Shi Jinpin!! Yaan wakuda wote maadui wa western na wenye weapons of mass destruction wapo na ma homie PutinMkuu madikteta wauwaji wote hawashughulikiwi kwa namna moja.
Kumbuka walikuwapo Sudan kama yeye na RB zao ICC bado hawakuvamiwa.
Kama yeye ni kidume, kwanini asijiri kwenye mikutano Hii muhimu duniani na kwa raha zake? Hata BRICS tu ni kama ulivyoona kaufyata 🤣🤣🤣!!
Hii ni sababu ya pili, sababu ya kwanza ni kuhofia utawala wake akiondoka hapo nchini kwake maana mambo yanaenda kasi. Hilo la kuogopa ICC halipo, ICC hawana jeshi kwamba watamkamata na vilevile India haiwezi mshikilia Putin.
Unasema kwenda India wakati kwa sasa yeye kwenda miji ya mbali nchini kwake kama Vladivostok au Yakutia haendi.
kumbe unajuwa kajificha MoscowMtamtega sana kwa pumba,hiyo ni mashine konki,kama mnambavu ingieni Moscow mumtoe madarakani.
Hata huyo Biden hawezi kwenda Afghanistan kifalafala