PreGE2025 G55 arudi CHADEMA baada ya kujivua uanachama, asema kelele za watu ndizo zilimuondoa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Mwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) aliyekua kwenye kundi la G55 ambalo halikubaliani na Mkakati wa chama hicho uliopewa jina la "No Reforms No Election" ameamua kurudi baada ya Kutangaza kujitoa kwenye Chama hicho.

Anipher Kassim Chiwili, anasema kilichomfanya kuondoka Chadema ni kelele za baadhi ya wanachedema waliokua wanasema vibaya wenzao lakini pia kutosikilizwa na viongozi pamoja na wenzao kisa tu wao ni kundi la G55

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Your browser is not able to display this video.
 
Bila kusahau hii, chadema kazi wanayo leo 😂


VOTING RESULTS:
1. 🇹🇿 Prof Yakub Janabi: 32
2. 🇨🇮 Dr N’da Konan Yao: 5
3. 🇬🇳 Mohamed Drame: 4
4. 🇹🇬 Prof Moustafa Mijiyawa: 4
 
Huyu ana nafasi gani hapo chadema
 
watakuwa hawajamlipa hela waliokuwa wamemwahidi.hela ya make up.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…