mb on
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 1,865
- 839
Chadema ni makasuku wazee wa kukaririshwa mistari, hapo watakuja na ile moja kati ya zile tatu maarufu walizokaririsha inasemaga hivi “Siasa haina staring wala adui wa kudumu”.Chadema bhana 😂
Tukisema chadema hamna Akili mnakuja kusema tunawatukana.
Sasa vp yale matusi waliyotukanwa 😂