Chadema ni makasuku wazee wa kukaririshwa mistari, hapo watakuja na ile moja kati ya zile tatu maarufu walizokaririsha inasemaga hivi โSiasa haina staring wala adui wa kudumuโ.Chadema bhana ๐
Tukisema chadema hamna Akili mnakuja kusema tunawatukana.
Sasa vp yale matusi waliyotukanwa ๐
Apeleke upuuzi mbali, amekosa mgao huko anajifanya kurudi. Huyo watu wampotezee tu.Mwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) aliyekua kwenye kundi la G55 ambalo halikubaliani na Mkakati wa chama hicho uliopewa jina la "No Reforms No Election" ameamua kurudi baada ya Kutangaza kujitoa kwenye Chama hicho.
Anipher Kassim Chiwili, anasema kilichomfanya kuondoka Chadema ni kelele za baadhi ya wanachedema waliokua wanasema vibaya wenzao lakini pia kutosikilizwa na viongozi pamoja na wenzao kisa tu wao ni kundi la G55
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3338282
Halafu wamempokea??? Nyumbu hovyo kabisa.Mwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) aliyekua kwenye kundi la G55 ambalo halikubaliani na Mkakati wa chama hicho uliopewa jina la "No Reforms No Election" ameamua kurudi baada ya Kutangaza kujitoa kwenye Chama hicho.
Anipher Kassim Chiwili, anasema kilichomfanya kuondoka Chadema ni kelele za baadhi ya wanachedema waliokua wanasema vibaya wenzao lakini pia kutosikilizwa na viongozi pamoja na wenzao kisa tu wao ni kundi la G55
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3338282
Mimi siyo nyumbu, labda hujanielewa!Kadhi Mkuu 1 njoo uwaone wale mliokuwa mnawatukana mmoja wao amerudi hvy anzeni kumsafisha ๐คฃ
Waulize chadema wenzakoHatufanyi ujinga huo, upuuzi huo uko huko CCM tu.
Upuuzi mnao huko CCMWaulize chadema wenzako
Mwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) aliyekua kwenye kundi la G55 ambalo halikubaliani na Mkakati wa chama hicho uliopewa jina la "No Reforms No Election" ameamua kurudi baada ya Kutangaza kujitoa kwenye Chama hicho.
Anipher Kassim Chiwili, anasema kilichomfanya kuondoka Chadema ni kelele za baadhi ya wanachedema waliokua wanasema vibaya wenzao lakini pia kutosikilizwa na viongozi pamoja na wenzao kisa tu wao ni kundi la G55
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3338282
Tahadhali kubwa sana inatakiwa kuhusu watu wa aina hii, hasa, hasa 'design' ya Boni yai.Imagine tungechukua dola na watu dizaini hii?!
Mtavurugwa sana mwaka huuMwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) aliyekua kwenye kundi la G55 ambalo halikubaliani na Mkakati wa chama hicho uliopewa jina la "No Reforms No Election" ameamua kurudi baada ya Kutangaza kujitoa kwenye Chama hicho.
Anipher Kassim Chiwili, anasema kilichomfanya kuondoka Chadema ni kelele za baadhi ya wanachedema waliokua wanasema vibaya wenzao lakini pia kutosikilizwa na viongozi pamoja na wenzao kisa tu wao ni kundi la G55
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3338282
Uko vizuriTahadhali kubwa sana inatakiwa kuhusu watu wa aina hii, hasa, hasa 'design' ya Boni yai.
Hawa wanaweza kuleta mtafaruku wa ajabu sana ndani ya chama.
Ninavyo wasoma mimi (huyo aliye rudi, na mwenyeji wake, aliye mpokea), hali ya huko nje walikotaka kuelekea siyo rafiki; ni bora kuendelea kujisitiri humo humo ndani ya CHADEMA, hadi fursa sahihi itakapo patikana.
Hatari sana.
Ingependeza sana ungeweka na nchi wanakotokea hao washindani wetu, mkuu 'Mbaga, Jr'.Bila kusahau hii, chadema kazi wanayo leo ๐
VOTING RESULTS:
1. ๐น๐ฟ Prof Yakub Janabi: 32
2. ๐จ๐ฎ Dr Nโda Konan Yao: 5
3. ๐ฌ๐ณ Mohamed Drame: 4
4. ๐น๐ฌ Prof Moustafa Mijiyawa: 4
Unajuwa wapiga kura walikuwa ni akina nani katika zoezi hili, mkuu 'Chief PRIEST'? Tukiwajuwa hao bila shaka na matokeo yatakuwa rahisi kuyadadavua..Sasa kwako wewe hii ndiyo akili? Una tofauti gani na Lucas Mwashambwa?
Bendera c unaziona hapo bossIngependeza sana ungeweka na nchi wanakotokea hao washindani wetu, mkuu 'Mbaga, Jr'.
Ukiweza, tafadhali fanya hivyo.
Mtafanya sana maigizo mwaka huuMwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) aliyekua kwenye kundi la G55 ambalo halikubaliani na Mkakati wa chama hicho uliopewa jina la "No Reforms No Election" ameamua kurudi baada ya Kutangaza kujitoa kwenye Chama hicho.
Anipher Kassim Chiwili, anasema kilichomfanya kuondoka Chadema ni kelele za baadhi ya wanachedema waliokua wanasema vibaya wenzao lakini pia kutosikilizwa na viongozi pamoja na wenzao kisa tu wao ni kundi la G55
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3338282
Kwani ameambiwa na Chadema arudi au nimaamuzi yake mwenyewe? Wewe ndiye usiyena akili .Chadema bhana ๐