- Hakika, ukiangalia "macho yake" yanasema ukweli zaidi kuliko kauli yake. Macho yanathibitisha pasi na shaka lile fungu "la ahadi" halijamfikia, hivyo amejiongeza.Hakupata posho yake aliyoahidiwa 🤣
chadema ni madaktari siku hizi?Bila kusahau hii, chadema kazi wanayo leo 😂
VOTING RESULTS:
1. 🇹🇿 Prof Yakub Janabi: 32
2. 🇨🇮 Dr N’da Konan Yao: 5
3. 🇬🇳 Mohamed Drame: 4
4. 🇹🇬 Prof Moustafa Mijiyawa: 4
Tangu zamani.chadema ni madaktari siku hizi?
Kwan aliambiwa na Nan atoke chadema?Kwani ameambiwa na Chadema arudi au nimaamuzi yake mwenyewe? Wewe ndiye usiyena akili .
watakuwa wamekupima sana fistula na tezi dumeTangu zamani.
Sio wewe na G55 ndio hamna akili?Chadema bhana 😂
Tukisema chadema hamna Akili mnakuja kusema tunawatukana.
Sasa vp yale matusi waliyotukanwa 😂
Maamuzi ya kutoka na kurejea ni yake.Kwan aliambiwa na Nan atoke chadema?
We na mm wote akili hatuna 😂
Tofauti ni kuwa yeye habubujikwi machozi😄Sasa kwako wewe hii ndiyo akili? Una tofauti gani na Lucas Mwashambwa?
Issue ni kuaminika.Mwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) aliyekua kwenye kundi la G55 ambalo halikubaliani na Mkakati wa chama hicho uliopewa jina la "No Reforms No Election" ameamua kurudi baada ya Kutangaza kujitoa kwenye Chama hicho.
Anipher Kassim Chiwili, anasema kilichomfanya kuondoka Chadema ni kelele za baadhi ya wanachedema waliokua wanasema vibaya wenzao lakini pia kutosikilizwa na viongozi pamoja na wenzao kisa tu wao ni kundi la G55
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3338282
Inasikitisha sana mkuu 😂watakuwa wamekupima sana fistula na tezi dume
Na maamuzi ya kumtukuna akitoka na kumsafisha akirudi ni yenu chadema 😂Maamuzi ya kutoka na kurejea ni yake.
Lete tusi alilotukanwa.Na maamuzi ya kumtukuna akitoka na kumsafisha akirudi ni yenu chadema 😂