hapana, haya yamezuka kwa yaliyotokea kweye chaguzi zao.....you can not say prior to that walikuwa wabaya wa chadema! hapanawasaliti wanaweza kuona mabadiliko kuwa ndani ya chama kuwa ndio walikuwa wanahusika na mambo mengi.ili kujiondoa ni kuepusha kuwa hawakuwa wanahusika na kuvujisha taarifa za chama.
damu zina walilia g55
ni prevailing circumstances kama zilizoleta Lowasa chadema, Jacob Zuma kuanzisha chaa chake and the like!Unajua wasaliti