PreGE2025 G55 Moshi na Temeke waondoka CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nimefurahi Sana huyu dada kujitoa, Kila mwaka alikuwa anataka nafasi ya viti maalumu eti chama ni Chao, lissu ameikomboa chadema
Shida ya hawa wapuuzi wa G55 ni kudhania kuwa wao ndio Chadema ila hakuna watanzania wengine wenye uwezo wa uongozi.

Kama wao wanajimudu waende wakafungue chama chao binafsi then waanze kazi ya kusambaza sas idea zao.
 
Umemaliza mkuu, G55 KOSA lao lipo hapo, walipaswa kuwa wapole na watiifu kwa chama, Yaani kitendo Cha mbowe na kujitoa kwenye chama inaonyesha walikuwa kwenye chama kwa ajili ya mtu na sio taasisi.Mimi binafsi mpaka sasa sijaelewa uzalendo wa mbowe kwa CHADEMA kwa Hali inayoendelea sasa.Alipaswa kutoa kauli kwamba wanachadema wote wauunge mkono uongozi uliopo sio kuunga mkono huu uhasi.
 
Mgonja sio mchaga ni mpare wewe ni mfuasi wa aina gani usiyejua viongozi wako?
 
Wanastahili kuheshimiwa maamuzi Yao.
Lissu alidhani kujenga chama kupayuka uzushi tu na kutoa vitisho. Siasa inahitaji uvumilivu na sacrifice sometimes
Hao waende, Tatizo wanamtupia lawama lissu zisizo muhusu....
 
Wengi wa waTanganyika ni Koroboi, tabu sana kukipambania hicho kizazi labda kwa msaada wa SIMBA na YANGA.
 
Wasubiri yajayo, CDM ina watu wengi nje ya mfumo wao wanaoikubali, kuna jamaa wa kijani jana amesema ina wafuasi wengi wa kijani wanavutiwa na hoja zao zenye mashiko
 
Hili ni gharika.CHADEMA inaongozwa na matapeli wa kisiasa
 
Ni wajinga sana hawa watu hivi hawa ndio wakuwaamini kwamba ndio watakwenda kuwa bora kushinda CCM? Watu wanatamaa,hawana adabu, hawana heshima na katiba ya chama,hawamuheshimu mwenyekiti wa chama wa sasa,ina maana wao wana muhimu kuliko wanachadema wote? Yafukuziliwe mbali.

Chadema ni chama cha watanzania wao ndio wanajiona Tanzania nzima ni G55 shenzi sana hao. Tena Heche anawachelewesha,futilia mbali majinga kabisa hayo.
 
Yaani huwezi elewa, wanajifanya kushauri chama kwenye press conference kweli? Je ushauri lazima ukibaliwe? Wanalazimisha mbowe aheshimiwe huku wakimtukana, kumbeza na kumkejeli lissu hadharani.Chadema baada ya muda waitishe vikao wafanye replacement wasonge mbele
 
Wawatoe tu kwanza kuitisha vikao nje ya maelekezo ys uongozi wa chama ni kukiuka utaratibu wa chama. Unaitishaje press kuzungumza na hadhira ya watanzania kuongelea mambo kinyume na uongozi wa chama?
 
Ingewezekana Uongozi wa chadema taifa utoe muda kwa yeyote asiyeridhika ajiondoe mpaka muda Fulani Ili wao wafanye replacement kwa walioondoka.Huu UASI wa chama unaendelea kwa kupitia Mwavuli wa G55 sio sawa. Hawa G55 CHAMA kitakachowapokea kijiandae....utovu wa nidhamu ni makubwa mnooo
 
G55 walipoondoka tukawaambia hao watu wana watu nyuma yao wengi tu Chadema itakufa Heche akajibu kwa jeuri na kife tu wengine watashika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…