PreGE2025 G55 Moshi na Temeke waondoka CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tunawatakia safari njema huko waendako!
 
Mgonja sio mchaga ni mpare wewe ni mfuasi wa aina gani usiyejua viongozi wako?
Kuna wapare 25 wamejitoa kwenye hii habari uliyoileta hapa? Mpare na mchaga kuna tofauti gani? Nyie wapuuzi wa ccm si ndio mlikuwa mnakichafua cdm kuwa ni chama cha wachaga, na kusema kina mwenyekiti wa kudumu? Mmenyimwa ajenda, saa hii mnatuokotea hadithi za waliokosa madaraka.
 
Naunga mkono hoja.
 
Wawatoe tu kwanza kuitisha vikao nje ya maelekezo ys uongozi wa chama ni kukiuka utaratibu wa chama. Unaitishaje press kuzungumza na hadhira ya watanzania kuongelea mambo kinyume na uongozi wa chama?
Ni usalitiiiii, Chama watakachokwenda G55 wajiandae....sio watiifu na ni wapenda vyeoooo
 
Let them gooooooooooo! Those are the people made CHADEMA dormant !
 
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Hivyo si kosa nyinyi kujiandaa na huu uhuni, lakini sisi tunaojitambua hatushiriki chaguzi zenye kanuni za kishenzi.
Hivi sayansi ya kumbadili mtu mweusi kuwa mweupe HAIPO kweli au wanatuficha? Tindo ebu tafutafuta huko China kama inawezekana. Nitakopa nikulipie uende ufanyiwe hii surgery ili uwe mzungu! Sitaki ufe kwa stress na pressure wakati Wana tupo! Ahahahahaha!!!
 
Kweli sisi manyani kama alivosema Mtikila(RIP) hapa wanamtaja Mbowe wakidhani wanamsifia ila wenye akili wanaona kbs wanamdhalilisha zaidi kwa kuprove yaliyosemwa miaka na miaka kuhusu Saccos na kuitumia chadema kwa ulaji ambao umekatika ghafla! Wawahi kabla uchafuzi haujapita msimu wa mavuno huu! Time will tell, muda ni mwalimu mzuri sana tusubiri na tuone…
 
G55 walipoondoka tukawaambia hao watu wana watu nyuma yao wengi tu Chadema itakufa Heche akajibu kwa jeuri na kife tu wengine watashika
Chama chochote kitakachobshindwa kusimamia mambo yake kuhofiia watu kutoka kitakuwa mufilisi.Kwenye vyama watu wanaingia na kutoka...
 
🀣🀣🀣Hoja za G55 eti wanatukanwa, wakiambiwa na nani? Hakuna majibu
 
Km basi kuna mwenyekuwa na wafuasi watano watakae andamana nae basi ni hao tano ni hawara zake...wanufaika wa kodi zetu.
 
Hiyo ni nadharia uliyotunga wewe mkuu 'Tindo'; na sasa unatumia mfano huu mbovu kabisa wa Mbowe kuonyesha uhalali wa nadharia hiyo.
Unajuwa tulisha kubaliana kutokubaliana juu ya hili.
 
Hivi kuna sababu zipi za kuendelea na kuwajadili hawa wanaoondoka ndani ya chama; wakati kuondoka kwao kunasaidia chama kujisafisha?
Hawa wangenyamaza na kuendelea kubaki ndani ya chama na kukihujumu ndani kwa ndani, si ingekuwa balaa!

Hii ni ishara nzuri kwa chama.
Kila mwanachama aliyeko ndani ya chama yumo kwa hiari yake. Kwa nini iwe nongwa anapo ondoka?
Kwani hakuna wanachama wapya wanaojiunga na chama sasa hivi?

Nadhani itafika wakati CHADEMA waanze kuonyesha idadi ya wanachama wapya wanaoingia ndani ya chama sasa hivi.
 
Ninafurahishwa sana na kinachoendelea CHADEMA. Wanavyoraruana inaleta faraja kuu kwenye nafsi yangu. Mbona Joyce Mukya hatamki chochote? Sema bado mapema kutabiri mshindi ndani ya CHADEMA kwa sababu wanaojitoa karibu wote walikuwa wafuasi wa Mbowe na wanufaika wa ruzuku chini ya utawala wa Mbowe hivyo wanakuwa hawashtui sana. G55 wafanye ujanja CHADEMA Tarime, Serengeti, Mbeya, Mwanza, Bukoba mjini na Iringa nao wafanye press za kujitoa CHADEMA. Hizi press za wanaCHADEMA wenye asili ya Machame ni kama zinazidi kumpandisha chati Lissu na genge lake.

Kimaro, Massawe, Lema, au Kweka wakisema wamejitoa ni rahisi watu kuwapuuza na kudai wamekosa fursa ya pesa. Lakini ikiwa kina Chacha, Mwabukusi, Nyamhanga, Rutashobya, Rhobi au Mwakipesile ndo wamefanya kujitoa lazima watu wajiulize maswali na kuleta sintofahamu.
 
Hili ni danga la Mbowe miaka mingi. Grace Kiwelu amekuwa akimpa Mbowe tangu na tangu.
Unamjua Grace Kiwelu wewe? Huyo ni bilionea mtoto wa marehemu wa Bilionea Ndesamburo Mzee ambaye anamiliki mahoteli na makampuni kibao ndani ya nchi na nje ana helikopta kibao Tanzania Kenya nk na mmoja wa wanachama wa mwabzo kabisa wa CHADEMA wafadhili wakuu wa CHADEMA

Zile Helicopter hata Lisu alikuwa akitumia zilikuwa zinakodiwa kampuni ya baba yake Grace Kiwelu ,Mzee Ndesamburo na alikuwa ndio mfadhili mkubwa wa CHADEMA alipoondoka kufariki mali zake karithisha huyo Grace Kiwelu

Tajiri bilionea anaondoka CHADEMA unasema unasema anaondoka malaya
 
Inamaana huamini kuwa wanafadhiliwa? Na kila mmoja atajiunga chama chake na wengine wataomba kurudi baada ya ufadhili kuisha.
Hayo ni sawa na MAVI, chakula kikiyeyushwa, kinageuka form na kuwa kinyesi, lazima kitoke, that's nature, let them go waste products πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…