G55 ninalo swali muhimu sana kwenu mlijibu, nalo ni moja tu.

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
24,523
Reaction score
30,084
Aliyewahi kuwa mgombea urais na kufanikiwa kushinda uchaguzi mihula miwili yenye jumla ya miaka 10 alisema kwa mdomo wake kuwa CCM haijawahi kushinda uchaguzi huku naye ni mnufaika wa irais bila ushindi na CCM ilitishia kumfukuza uanachama lakini ikashindwa kumfukuza.
Swali kwenu, nyie msiotaka marekebisho kabla ya uchaguzi mtatumia mbinu gani kushinda uchaguzi?
 
G-55 haijawahi kukataa marekebisho. Wanachosema ni kuwa hata yasipokiwepo watapambana hivyo hivyo.

Amandla...
 
G-55 haijawahi kukataa marekebisho. Wanachosema ni kuwa hata yasipokiwepo watapambana hivyo hivyo.

Amandla...
Watapambanaje sasa wakati miaka hii CCM imekuwa na malska ya kuwanyofoa wagombea wote wa upinzani, kimbuka rais Pombe alitamka wazi kwa kusema "kukuteua nikuteuwe mimi, gari, nyumba na mshahara nikupe mimi kisha nikusikie umemtangaza mpinzani kiwa mshindi utanitambua", nyie huwa mnasema kauli ya rais ni sheria na kauli hii bado haijafutwa na huyu aliyepo, sasa mtapambanaje na rais asiyeweza kwenda mahakamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…