Kuhama chama sio kosa kama vile kujiunga na chama isivyo kosa.Ni baada ya Chadema kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi.
Mrema awasihi watia nia Ubunge na Udiwani kuwa watulivu kusubiri maamzi ya chama.
My Take; Kama wameamua kuhama wanasubiri maamzi ya chama kipi wanachotoka au wanachohamia.
View attachment 3312748
Wamesema wanasubiri maamuzi ya chama, au wanasubiri wapewe barua za uhamisho.Kuhama chama sio kosa kama vile kujiunga na chama isivyo kosa.
Kila jambo mtu hulifanya kulingana na wakati anaoona yeye kuwa ndio wakati sahihi; hivyo kama wana mpango wa kuhama lakini wanasubiri muda ufike bado wapo sawa mtu mwingine hapqswi kukereketwa kuwa kwa nini hawahami sasa.
HAKUNA WA KUWAPA HIZI POSITIONS. WATU NDANI YA CCM WANA NJAA LEO WAJE WAHAMIHAJI WAPATE ULAJI... SIDHANI.
Hakika.Hata sisi CCM hatuwataki kwa sababu Chama chetu siyo kwa ajili ya kujinufaisha,bali kukitumikia.CHADEMA siyo chama cha watia nia ni chama cha wanachama,kama watia nia hawawezi wa kavumilia mapito ambayo chama kinapitia wana haki ya kwenda chama chochote kutimiza adhima yao.
Naungana na wewe kabisa! Hakuna taasisi isiyopitia Changamoto.CHADEMA siyo chama cha watia nia ni chama cha wanachama,kama watia nia hawawezi wa kavumilia mapito ambayo chama kinapitia wana haki ya kwenda chama chochote kutimiza adhima yao.
Sasa wewe mfukuzaji hukutakiwa kutujibu huku JF, hii taarifa wape hao wenzio.Waondoke haraka kabla hatujawafukuza
Jamaa ni wajinga sana, akili zao ni kushiriki tu, hawajali lolote. Hapo unaweza kujiuliza nani alisaini Covid 19 kuingia bungeni kweli?Wahame hata leo, bunch of sore losers. Tuone huko wanapoenda kama watatangazwa washindi!
Wafike salama. Imagine unaweka matumaini kwa hawa wanasiasa...itakula kwakoNi baada ya Chadema kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi.
Mrema awasihi watia nia Ubunge na Udiwani kuwa watulivu kusubiri maamzi ya chama.
My Take; Kama wameamua kuhama wanasubiri maamzi ya chama kipi wanachotoka au wanachohamia.
View attachment 3312748
Masikini wa akili hao, hawajui kinachowabeba ni chama, maana hawana uwezo wala ushawishi kwa wananchi, waondoke haraka wakapeleke usaliti wao vyama vingineNi baada ya Chadema kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi.
Mrema awasihi watia nia Ubunge na Udiwani kuwa watulivu kusubiri maamzi ya chama.
My Take; Kama wameamua kuhama wanasubiri maamzi ya chama kipi wanachotoka au wanachohamia.
View attachment 3312748
Ni baada ya Chadema kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi.
Mrema awasihi watia nia Ubunge na Udiwani kuwa watulivu kusubiri maamzi ya chama.
My Take; Kama wameamua kuhama wanasubiri maamzi ya chama kipi wanachotoka au wanachohamia.
View attachment 3312748
Lakini Chadema ni chama cha siasa sio chama cha malaika usishangae ukiona come October over 200 wannabe wabunge wakagombea kupitia vyama vingine.CHADEMA siyo chama cha watia nia ni chama cha wanachama,kama watia nia hawawezi wa kavumilia mapito ambayo chama kinapitia wana haki ya kwenda chama chochote kutimiza adhima yao.
Wanasaka kwenda bungeni ili wasikikike no matter what.Wamesema wanasubiri maamuzi ya chama, au wanasubiri wapewe barua za uhamisho.
Kama wanasubiri kubembelezwa wasihame watasubiri sana, wao wawahi kabla majimbo hajaisha kugawiwa machawa wa Uvccm.