G55 wakamatwe kama Waalim wasio na Ajira walivyokamatwa

Musachawenyu

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
280
Reaction score
526
Tanzania tunaamini kuna taasisi mbalimbali zinazosajiri Taasisi kulingana na malengo.

Mfano Brella inasajiir makampuni.

Wizara ya Mambo ya Ndani inasajiri Taasisi mbalimbali zikiwepo za dini, na kupewa uhuru wa kutumia jina la Tadisi husika katika shughuli zao za kila siku.

Hivi karibuni liliibuka kundi la Waalim wasio na ajira, wakaanza kufanya shughuli zao na wote walitiwa nguvuni na Jeshi la Police na sasa hatuwasikii.

Baada ya Muda tukasikia limeibuka kundi la G55 ambalo linaongozwa na John Mrema na wenzake ambao wako nje ya Uongozi wa Chadema kwa sasa.

Hatujasikia msajiri wa Vyama vya Siasa, Police n.k kuhoji uhalali wa kundi hilo.

Nini tafsiri yake?

Waalim wasio na ajira walikuwa wanatetea maslahi ya vijana/wananchi ambao hawana ajira. Ikaonekana tishio kwa CCM wakakamatwa, kutishwa na hatimaye wamepotea.

G55 ambao wanatetea maslahi ya CCM wanapata pesa za kufanya mikutano na waandishi wa habari, wanapewa airtime kwenye media kubwa n.k.

Katika sheria za Tanzania huwezi endesha kikundi au Tasisi bila kusajiriwa kama sio mfano wa vikundi vya kina Mwijaku na Steve Nyerere.

Ni wazi John Mrema na wenzie wameingia kwenye payroll ya Mama anaupiga mwingi.
 
My friend suala la wale walimu serikali haiwezi kunyamaza hata kidogo, sasa hawa wasiokua hata na mane serikali haina hata habari nao, huoni makala anakwenda zake Kusini baada ya mech ya Simba na Al Masry
 
Kwa kuwa wako kinyume nao kwa kudai haki zao za msingi?
 
Tanzania tunaamini kuna taasisi mbalimbali zinazosajiri Taasisi kulingana na malengo.

Mfano Brella inasajiir makampuni.

Wizara ya Mambo ya Ndani inasajiri Taasisi mbalimbali zikiwepo za dini, na kupewa uhuru wa kutumia jina la Tadisi husika katika shughuli zao za kila siku.

Hivi karibuni liliibuka kundi la Waalim wasio na ajira, wakaanza kufanya shughuli zao na wote walitiwa nguvuni na Jeshi la Police na sasa hatuwasikii.

Baada ya Muda tukasikia limeibuka kundi la G55 ambalo linaongozwa na John Mrema na wenzake ambao wako nje ya Uongozi wa Chadema kwa sasa.

Hatujasikia msajiri wa Vyama vya Siasa, Police n.k kuhoji uhalali wa kundi hilo.

Nini tafsiri yake?

Waalim wasio na ajira walikuwa wanatetea maslahi ya vijana/wananchi ambao hawana ajira. Ikaonekana tishio kwa CCM wakakamatwa, kutishwa na hatimaye wamepotea.

G55 ambao wanatetea maslahi ya CCM wanapata pesa za kufanya mikutano na waandishi wa habari, wanapewa airtime kwenye media kubwa n.k.

Katika sheria za Tanzania huwezi endesha kikundi au Tasisi bila kusajiriwa kama sio mfano wa vikundi vya kina Mwijaku na Steve Nyerere.

Ni wazi John Mrema na wenzie wameingia kwenye payroll ya Mama anaupiga mwingi.
Walimu walikuwa against serikali
G55 against Chama sio serikali.

Chama kitachukuwa hatuwa na iwe sio ya kuvunja usalama wa nchi.
 
Back
Top Bottom