Wandani tv
Member
- Feb 22, 2019
- 7
- 9
Sikumbili zimepita toka ushindani mkubwa wa kugombania vijiko (tuzo)vyenye heshima kubwa kutoka AZAM TV, msanii Gabo Zigamba kajitokeza na kutoa shukurani kwa Watanzania, walio muombea usiku kucha na kumpigia kura kwa wingi ili aendeleze kushikilia nafisi ya kuwatetea watanzania kwa kutengeneza film zenye maadili
Vilevile Gabo kaongeza kuhusu wasanii kutoshirikiana naimani bongo movie ya Gabo siyo ya Kanumba kipindi cha nyuma kulikuwa na ushindani mkubwa tofauti na sasa, wakati mwingine huwa nikimfikiria Juma Kilowoko(smSajuki) huwa nalia maana Kanumba alikua akidondosha, Ray Kigosi anatoa mara Sajuki anatoa, apoutaskia steps inawaambia mashabiki somaiyooo! hahahaha
Lakini leo hamna vitu kama hivyo kabisa, alafu unamuona MTU au kumskia Gabo mbona yeye? Ndiyo ni mimi sababu najituma, kuna baadhi ya wasanii hawapendi au hawataki kukubali kuwa Mimi najituma hayo kayazungumza Gabo zigamba alipo tufikia Wandani tv