Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,416
- 16,603
Vingekua vizuri sawaBasi Poa.. Ila penda vya nyumbani kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vingekua vizuri sawaBasi Poa.. Ila penda vya nyumbani kwanza
We unapenda movie za nchi gani?Vingekua vizuri sawa
Za kutoka AsiaWe unapenda movie za nchi gani?
Hupendi kuona Jambazi anavua viatu kuingia ndani?..?Za kutoka Asia
Walikaaa bila tuzo! Zimekuja hz bado wanapondaWatanzania kwa kuponda!!!!!
Daaaah...
Watanzania tunakatishana moyo sana. Ona sasa kama huyu sijui kawaza nn.
Kwan hizo ni pipi au soda???
JIFUNZE KUPENDA CHA KWAKO KABLA YA KUPENDA VYA WENZAKO, WAMAREKANI WEUSI WALIANZISHA TUZO ZAO ZA BET MAALUM KWA WATU WEUSI AND NOW BET IS ONE OF THE BIGGEST AWARD ALL OVER THE WORLD, JIFUNZE KUKIPENDA CHAKO KWANZA
Hata mimi na sitegemei kuja kuiona.
Safari ya nini?hahah,aise nikifuatilia movie zao jamaa IQ yangu inashuka kwa speed.Mhh nahofu kama ww kweli ni mtanzania???
Yaan unataka kusema hujaona hata movie ya "SAFARI YA GWALU"???
Ingia youtube uichk ndo utaona ujuzi wa huyu jamaa.
HahahHa, aisee yaan wanaboa sana mtu huna hata hiyo hobby ya hivyo vitu lakini wanaweka,Kati ya vitu vinavyonikera kwenye mabasi ya mikoani ni kuweka muvi za hawa majamaa wa bongo muvi. Safari huwa inaharibikia hapohapo