Gabo: Mimi najituma ila kuna watu hawaoni nikijituma

Gabo: Mimi najituma ila kuna watu hawaoni nikijituma

Sijawahi waza kuangalia hizo za kuitwa bongo movie hata hizo tuzo sijaangalia! Nasoma tuu malalamiko
 
Mhh nahofu kama ww kweli ni mtanzania???

Yaan unataka kusema hujaona hata movie ya "SAFARI YA GWALU"???
Ingia youtube uichk ndo utaona ujuzi wa huyu jamaa.
Safari ya nini?hahah,aise nikifuatilia movie zao jamaa IQ yangu inashuka kwa speed.
 
Kati ya vitu vinavyonikera kwenye mabasi ya mikoani ni kuweka muvi za hawa majamaa wa bongo muvi. Safari huwa inaharibikia hapohapo
 
Uwa nikimuwaza duma wa kwenye sili ya mtungi na huyu duma wa sasa nasema bongo wanapiga ndele.
 
Back
Top Bottom