Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Ndio, ni filamu fupi dakika 11Umeiangalia hadi mwisho?
Mbona kama imemuabisha sana mkuu wa mkoaNdio, ni filamu fupi dakika 11
wanasema huyo rc alipelekewa moto sio wa nchi hii.Mbona kama imemuabisha sana mkuu wa mkoa
Au ndiyo ilivyotokea ?
Moto kivipi ? Kwamba alianza kupigwa kabla ya kuuliwa na je mbona inaoesha kama alikuwa na dharau sanawanasema huyo rc alipelekewa moto sio wa nchi hii.
alipigwa risasi za hajaMoto kivipi ? Kwamba alianza kupigwa kabla ya kuuliwa na je mbona inaoesha kama alikuwa na dharau sana
Kweli aliingia Chaka sioalipigwa risasi za haja
iaKweli aliingia Chaka sio
Kwa tuliosoma kisa chake ipo sawa 95%, hapo alipomuweka kwenye gari akaanza kupiga misele mitaa ya Iringa, raia wakawa wanashangaa Mwamwindi imekuwaje anaendesha ndinga ya RC . Baadaye akapeleka gari kituo cha polisi na kuwaambia kachukue mbwa (sina hakika) wenu kwenye buti.Mbona kama imemuabisha sana mkuu wa mkoa
Au ndiyo ilivyotokea ?