BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna tatizo,ajioe
[emoji23][emoji23]Najua kuna watu mapovu yatawatoka ila huo ndio ukweli, hilo Linaitwa jiwe la gizani ukisikia kelele ujue limempata mtu[emoji23] [emoji23]
Eti jiwe la gizani, Hahahaha [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Najua kuna watu mapovu yatawatoka ila huo ndio ukweli, hilo Linaitwa jiwe la gizani ukisikia kelele ujue limempata mtu[emoji23] [emoji23]
Ukweli circle yake yeye ndio mbovu sie huku maneromango hatuwaambii bint za watu tutoke tunamalizana na wazee wao baada ya mtongozo wa miezi sita unachukua mwali unaweka ndani kitu saafi!Najua kuna watu mapovu yatawatoka ila huo ndio ukweli, hilo Linaitwa jiwe la gizani ukisikia kelele ujue limempata mtu[emoji23] [emoji23]
Siku hizi watoto washayajua mapenzi toka wakiwa tumboni mwa mama zao, kilichobaki ni hit n run, ukijifanya unajua kupenda eti uoe itakula kwako, watu wapo after moneyUkweli circle yake yeye ndio mbovu sie huku maneromango hatuwaambii bint za watu tutoke tunamalizana na wazee wao baada ya mtongozo wa miezi sita unachukua mwali unaweka ndani kitu saafi!
Sasa yeye anatafuta mke kwenye kundi la machangudoa unategemea apate mke kweli?si muoaji na hajui wapu kwa kupata mke aendelee tu ku ngonoka na wahuni wenzake mpaka umri utakapo mjibu!