Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
anadhani kwa vile anauza sura watu wanashoboka bongo movie sh ngapi kwa mfano?hana lolote mbona ana ndoa mbili ya mkewe wa kwanza na husna sajent
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anadhani kwa vile anauza sura watu wanashoboka bongo movie sh ngapi kwa mfano?hana lolote mbona ana ndoa mbili ya mkewe wa kwanza na husna sajent
Tofauti ni kubwa sana hapo, siku hzi mavazi yanayovaliwa ni hatari sana, Na wanaovaa hivyo asilimia kubwa ni wasomi wetu walioelimika.Kuiga sana watu wa nje ndo kumewaharibu wanawake wa kizazi hiki [emoji26]![]()
ahahahahhhh 1500anadhani kwa vile anauza sura watu wanashoboka bongo movie sh ngapi kwa mfano?
watakua wameshaachana mwanzo wa ndoa yao husna alikua anavaa baibui kila siku sasa hivi anajiachia tu na vichupiLabda kama anamsema mke wake husna.
Wanaoa Majike shupa!Akwende Zake huko, anavyosema hakuna wanawake wa kuoa, yy mwenyewe ni muoaji? Kila siku tunaona watu wanafunga ndoa ina maana hao wanawake wanatoka wapi.