Gabriel Geay achukua nafasi ya tatu Marekani leo

Gabriel Geay achukua nafasi ya tatu Marekani leo

Melubo Letema

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
416
Reaction score
414
Mwanariadha Gabriel Gerald Geay amefanikiwa kushika nafasi ya tatu katika mashindano ya Houston Half Marathon kwa kilomita 21 (21K) huko Texas, Marekani kwa muda wa dakika 59:18 muda wake bora na kwa taifa pia

791cbf6a-3390-4513-be20-ac7f4b782c2a.jpeg
 
Huyu dogo yuko vizuri sana. Pia ni mnyenyekevu sana ukikutana naye unawezafikiri ni mbangaizaji tu kumbe ni miongoni mwa vijana wenye uchumi mzuri na exposure kubwa. Keep it up bro!
 
Na Geay alishasema mapema akifika tu kura yake kwa Lissu
 
Mwanariadha Gabriel Gerald Geay amefanikiwa kushika nafasi ya tatu katika mashindano ya Houston Half Marathon kwa kilomita 21 (21K) huko Texas, Marekani kwa muda wa dakika 59:18 muda wake bora na kwa taifa pia

Tv za bongo zilikuwa busy kutangaza Simba na Yanga kwa kuwa wameamua makusidi kuua michezo mwingine na kumuacha mzalendo akitumia nguvu zake kupeperusha bendera ya nchi. Kenya mwanariadha wao akiwa anashiriki michizo husitisha vipindi muda huo ili wananchi washuhudie. Sasa bongo suala la michezo kakabidhiwa Azam ambaye ni football na dini
 
Back
Top Bottom