Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Hata Mimi nashangaaHata bendera yetu hawana!!
Samatta mwanzo alipokua epl ilikua hivihiviMbona kwenye bendera pako blank...
Tv za bongo zilikuwa busy kutangaza Simba na Yanga kwa kuwa wameamua makusidi kuua michezo mwingine na kumuacha mzalendo akitumia nguvu zake kupeperusha bendera ya nchi. Kenya mwanariadha wao akiwa anashiriki michizo husitisha vipindi muda huo ili wananchi washuhudie. Sasa bongo suala la michezo kakabidhiwa Azam ambaye ni football na diniMwanariadha Gabriel Gerald Geay amefanikiwa kushika nafasi ya tatu katika mashindano ya Houston Half Marathon kwa kilomita 21 (21K) huko Texas, Marekani kwa muda wa dakika 59:18 muda wake bora na kwa taifa pia