Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Mwanariadha wa kimataifa, Gabriel Gerald Geay anogesha mashindano ya majaribio ya Uwanjani leo 8/7/2023 kwa kutoa zawadi ya pesa kwa baadhi ya wanariadha washindi na wenye muda mzuri kwa baadhi ya michezo hiyo.
Mashindano hayo yamefanyika kwa mara ya pili mfululizo na kushirikisha wanariadha kutoka Arusha, Kilimanjaro, Manyara na Singida.
Matokeo ya michezo yote ni kama yameambatanishwa.
Mashindano hayo yamefanyika kwa mara ya pili mfululizo na kushirikisha wanariadha kutoka Arusha, Kilimanjaro, Manyara na Singida.
Matokeo ya michezo yote ni kama yameambatanishwa.