Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Sijui umesahau au umefanya kusudi kumalizia kumtaja Kayafa Shujaa fake wa Africa hapo kuwa katika utawala wake ajali hazikuwepo.Yani back thru 4 years ajali zilipungua inaonekana tayari kuna maafisa usalama wameanza kufanya uzembe kazini!
Haiwezekani ajali zilikuwa hazisikiki kabisa yani palitulia kabisa. Ila juzi wamekufa akina Mboya! Leo mtangazaji wa ITV barabara hio hio ya Mbeya
Rip.Mbeya mbeya, ajali zimesikika sana msimu huu
RIP
Nimemtaja nani hapo acha uchizi weweSijui umesahau au umefanya kusudi kumalizia kumtaja Kayafa Shujaa fake wa Africa hapo kuwa katika utawala wake ajali hazikuwepo.
Ndio nimekuuliza imekuwaje umesahau kumalizia kumtaja Shujaa fake wa Africa au umeona aibu?Nimemtaja nani hapo acha uchizi wewe
Yani back thru 4 years ajali zilipungua inaonekana tayari kuna maafisa usalama wameanza kufanya uzembe kazini!
Haiwezekani ajali zilikuwa hazisikiki kabisa yani palitulia kabisa. Ila juzi wamekufa akina Mboya! Leo mtangazaji wa ITV barabara hio hio ya Mbeya
Apumzike kwa amani kama alikuwa na bima kazini familia yake haitapata tabu sanaMwandishi wa habari wa ITV, ambaye alikuwa ni reporter kutoka mkoa wa Songwe Amefariki Dunia kwa ajari ya Gari.RIP Gabriel Kandonga.
Chanzo: ITV
Hahahahah huyo jamaa atakua alilewa ulanziMbona katika taarifa rasmi hivi karibuni, yule mkuu wa traffic police nchini, kamanda Mutafungwa alidai ajali zimepungua kuliko wakati wowote katika historia ya nchi hii?
Inabidi maeneo yote hatarishi waweke alama na vipunguza mwendo, pia mwendokasi wa gari usizidi 30-40 kilomita kwa saaYaani, Sijui tatizo ni nini?!!!!.
Inabidi maeneo yote hatarishi waweke alama na vipunguza mwendo, pia mwendokasi wa gari usizidi 30-40 kilomita kwa saaRip.
Mbeya ajali hazijawai kuisha.
Kuna kipindi flani udogoni yaani kuna kona pale Nzovwe Jkt Itende tulikua watoto tunakaa vibarazani kuangalia ajali kama sinema.
Unaiona kabisa gari hiyo hiyo inateremka inapiga mzinga mbaya.mnakimbilia eneo la tukio waliokufa wamekufa wengine wamekatika miguu na viungo vingine wanalia.
Damu kila mahali
Ilikua experience mbaya sana.
Hahusiki hapo ndio maanaNdio nimekuuliza imekuwaje umesahau kumalizia kumtaja Shujaa fake wa Africa au umeona aibu?
Apumzike kwa amaniMwandishi wa habari wa ITV, ambaye alikuwa ni reporter kutoka mkoa wa Songwe Amefariki Dunia kwa ajari ya Gari.RIP Gabriel Kandonga.
Chanzo: ITV
Tutakwishaje... Mbona ajali zimeanza kutokea tangu enzi za Mwalimu na bado population inaongezeka exponentiallyHakika ndugu yangu,madereva wanapaswa kuwa makini Sana, vinginevyo tutakwisha.
Sijui kama wamefanya hilo,ni zamani sana nilikua huko.Inabidi maeneo yote hatarishi waweke alama na vipunguza mwendo, pia mwendokasi wa gari usizidi 30-40 kilomita kwa saa
halafu mbeya ni sehemu yenye makanisa/nyumba za ibada nyingi sanaa, hamuke wakemee