TANZIA Gabriel Kandonga afariki dunia kwa ajali ya gari

Yani back thru 4 years ajali zilipungua inaonekana tayari kuna maafisa usalama wameanza kufanya uzembe kazini!

Haiwezekani ajali zilikuwa hazisikiki kabisa yani palitulia kabisa. Ila juzi wamekufa akina Mboya! Leo mtangazaji wa ITV barabara hio hio ya Mbeya
Sijui umesahau au umefanya kusudi kumalizia kumtaja Kayafa Shujaa fake wa Africa hapo kuwa katika utawala wake ajali hazikuwepo.
 
Mbeya mbeya, ajali zimesikika sana msimu huu

RIP
Rip.
Mbeya ajali hazijawai kuisha.
Kuna kipindi flani udogoni yaani kuna kona pale Nzovwe Jkt Itende tulikua watoto tunakaa vibarazani kuangalia ajali kama sinema.
Unaiona kabisa gari hiyo hiyo inateremka inapiga mzinga mbaya.mnakimbilia eneo la tukio waliokufa wamekufa wengine wamekatika miguu na viungo vingine wanalia.
Damu kila mahali
Ilikua experience mbaya sana.
 
Ajali zilikuwepo wazee kama kawaida ila ilikua inazuiliwa kuripotiwa na si ajali pekee hata matukio mengine mengine. Ila hizi za kuwahusu wanahabari limekuwa jini jipya.
 
Yani back thru 4 years ajali zilipungua inaonekana tayari kuna maafisa usalama wameanza kufanya uzembe kazini!

Haiwezekani ajali zilikuwa hazisikiki kabisa yani palitulia kabisa. Ila juzi wamekufa akina Mboya! Leo mtangazaji wa ITV barabara hio hio ya Mbeya

Mbona katika taarifa rasmi hivi karibuni, yule mkuu wa traffic police nchini, kamanda Mutafungwa alidai ajali zimepungua kuliko wakati wowote katika historia ya nchi hii?
 
Yaani, Sijui tatizo ni nini?!!!!.
Inabidi maeneo yote hatarishi waweke alama na vipunguza mwendo, pia mwendokasi wa gari usizidi 30-40 kilomita kwa saa

halafu mbeya ni sehemu yenye makanisa/nyumba za ibada nyingi sanaa, hamuke wakemee
 
Rip.
Mbeya ajali hazijawai kuisha.
Kuna kipindi flani udogoni yaani kuna kona pale Nzovwe Jkt Itende tulikua watoto tunakaa vibarazani kuangalia ajali kama sinema.
Unaiona kabisa gari hiyo hiyo inateremka inapiga mzinga mbaya.mnakimbilia eneo la tukio waliokufa wamekufa wengine wamekatika miguu na viungo vingine wanalia.
Damu kila mahali
Ilikua experience mbaya sana.
Inabidi maeneo yote hatarishi waweke alama na vipunguza mwendo, pia mwendokasi wa gari usizidi 30-40 kilomita kwa saa

halafu mbeya ni sehemu yenye makanisa/nyumba za ibada nyingi sanaa, hamuke wakemee
 
Inabidi maeneo yote hatarishi waweke alama na vipunguza mwendo, pia mwendokasi wa gari usizidi 30-40 kilomita kwa saa

halafu mbeya ni sehemu yenye makanisa/nyumba za ibada nyingi sanaa, hamuke wakemee
Sijui kama wamefanya hilo,ni zamani sana nilikua huko.
Kuna mteremko mkali toka simike kuja Nzovwe alafu kuna kona kali pale jkt wamekufa watu wengi sana.
Wanasema kuna jini pale enzi hizo.
Kuna siku kulikua na kisima pale.
Maji tulikua tunakinga pale,nimeenda na mdogo wangu nampenda sana tuchote maji e bana gari hiyoo imetoka juu huko simike mi naiona dogo haoni nakumbuka nilimnyakua nikamtupa pembeni.
Ile gari 5×4 pick upp nyeupe iligonga palepale alipokua amesimama.
Kama nisingemtoa tungekua tumemsahau.
Mpaka leo hajuagi hiyo action.
 
Back
Top Bottom