Gabriel Zakaria on CCTV

Jamani mbona wazungu wakikosea kiswahili hatushangai.Lakini sisi tunavyokosoana mpaka aibu ungewekwa wewe tuone chako.

english ni lugha ya kimataifa, kiunganishi kikuu cha nchi ambazo hazitumii lugha moja, kwa hiyo lazima wadau wamchangae maana pale kuna wengi tu ambao wanaongea english kwa ufasaha,
 

daaaaa imenipita hii aisee,
inasikitisha kwa kweli, ingekuwa ndio anajibu swali la essay kwenye mtihani basi ni 1/20
 

Kipindi nipo A level ,mwalimu wangu wa Chemistry katika kutoa score,yeye alikua haanzi na zero alianza na minus.Yaani usishangae katarasi yako unapewa ina -20%,maanake unadaiwa points zingine.Mtihani utakaofuta ukiwa umepata 50%,itabidi apunguze zile 20% alikua anakudai.

Turudi kwenye mada,kama huyu mtangazaji alikua anajibu kirahisi hivyo,tumpe score ya -99%, nimegundua tatizo sio lugha bali hana uelewa kabisa katika masuala ya uchumi.Ndo maana wakenya wanatudharau,kama hao ndo wawakilishi tunaowatuma kwa kodi yetu.
 
PASCO umenena ila umesahau sifa nyingine ya kuwa mtangazi ni kujua miziki mbalimbali iliyopo kwenye chati

Pasco


18th May 2012 18:42
#18



[h=2]
Re: Gabrile zakaria : Cctv[/h]
Kwenye media zetu tuna tatizo kubwa la specialization. Sifa kibwa ya kuwa mtangazaji hapa kwetu ni sauti na muonekano tuu, upstairs haijalishi sana!.

Kwenye TV za wenzetu, watangazaji wa vipindi vya uchumi wamesomea uchumi, watangazaji wa vipindi vya afya wamesomea udaktari, watangazaji wa vipindi vya sanaa ni wasanii, watangazaji wa vipindi vya ulinzi na usalama ni majenerali wastaafu!.

Sisi kwetu mtangazaji ni mtangazaji na atatangaza kila kitu!. Kwa vile tunaingia kwenye digital migration, hakuna jinsi, lazima watangazaji wetu waspecialize vinginevyo no one will watch them with hundred options at a click!.​

Last edited by Pasco; 18th May 2012 at 19:25.
 
acha wivu.

Watanzania wakiambiwa ukweli wanakimbilia wivu,hater etc,Kwa walioangalia ni ukweli tcb wamechemka kumpeleka zakaria tuwe wakweli jamani sio kila mtu hater si kila mtu ana wivu..,wivu gani sasa? Kwenda china? Kupanda evarest mountain? Tuwe great thinker.
 
utajuaje kama gz ndo mwenyekujua hizo ngeli kuliko woootw?
btw watangazaji wengi vimeo
utakuta mtu ametengeneza tangazo
lets say haya ya vyuo
unamsikia anasema flora 'training' center
nashindwaga kushangaa kwakweli anaisoma kama ilivyoandikwa

 
unauaaaaaaa
 

May be he is their best shot
 
Jamani kiingereza sio lugha yetu wengi wetu tunajifunza,hata wao wakija kwetu kiswahili kinawasumbua,amefanya kwa uwezo wake na hiyo exposure adimu aliyoipata itamjenga siku zijazo,ni bora tumpe moyo ili siku nyingine akiitwa huko aweze kujumuika kwenye maada kwa ufasaha kwa lugha ya kugeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…