Sidhani.Ilisemwa hivyo kwa robinho wala haikuwa hivyo....ikadhaniwa hivyo kwa Pato na haikuwa hivyo.Ikaja kwa Neymar jr haipo hivyo.Sasa inakuja kwa Jesu nina mashaka kama itakuwa tofauti na hao wengine[/QUMadalali kazini ndio msimu wao huu, ni kama ile picha dalali anauza nyumba anasema huu mtaa una amani kweli hapa hakuna wizi ili auze nyumba hapo hapo nje mtu anapigwa risasi. Lini ulisikia dalali akandie kitu anachotaka kuuza. Mimi sijawahi kumuona na kama ni mzuri si angekuwa hata bench la team ya Brazil. Au labda tumuone Olympic kama atakuwepo ndio tutajuwa.