Kiongozi wa chama cha DCP na Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua amepuuzia madai kwamba aliwalipa makundi ya vijana kuharibu mali wakati wa maandamano ya Juni 25 ya GenZ akidai kuwa serikali inahusika na uharibifu wa mali hiyo. Hata hivyo viongozi wa upande wa serikali wanashinikiza kukamatwa kwa Gachagua
Soma pia: Gavana wa Embu, Cecily Mbarire amemshutumu Gachagua kufadhili makundi ya vurugu kwenye maandamano ya Gen Z
Source: KTN NEWS
Soma pia: Gavana wa Embu, Cecily Mbarire amemshutumu Gachagua kufadhili makundi ya vurugu kwenye maandamano ya Gen Z