Makamu wa Rais Mstaafu Rigathi Gachagua ametoa tuhuma nzito dhidi ya Rais William Ruto, akidai kuwa anaendesha mpango wa kutesa jamii ya Mlima Kenya kwa makusudi. Akizungumza tarehe 5 Juni 2025 katika mazishi ya shangazi yake marehemu Gladys Gathoni Kahua huko Kaunti ya Nyeri, Gachagua alisema kwa masikitiko kuwa alipuuzia onyo la shangazi yake kuhusu nia za kisiasa za Rais Ruto. Alieleza kwamba shangazi yake alimwonya kuwa Ruto angewadhulumu kwanza yeye binafsi, kisha watoto wake, na hatimaye jamii yake, jambo ambalo sasa linajidhihirisha
Gachagua alimtuhumu Rais Ruto kupanga mchakato wa kuondoa watu kutoka eneo la Mlima Kenya katika nafasi muhimu serikalini, kama njia ya kufanya ‘safi’ za kisiasa. Aliongeza kuwa jumamosi iliyopita, Ruto alidaiwa kukutana na makamanda wa polisi wa mikoa katika Ikulu na kutoa agizo la kuanzisha msako unaolenga wanajamii wa Mlima Kenya, ambapo zaidi ya watu 400 wamekamatwa na asilimia 92 kati yao wakiwa wanatoka kwenye jamii hiyo, kwa tuhuma alizozitaja kuwa za uongo
Gachagua alimshutumu Mbunge wa Kikuyu Kimani Ichung’wah kwa kushirikiana na Rais Ruto ili kuwanyamazisha wapinzani na kuwatisha waandamanaji vijana. Alisema Ichung’wah alihusika katika kushinikiza kukamatwa kwa kiongozi wa vijana wa chama cha DCP Kaunti ya Kiambu, Peter Kinyanjui almaarufu Kawanjiru, kwa madai ya kuhusika kuchoma mahakama katika Kikuyu na kuvamia kituo cha polisi cha Dagoretti
====
Former Deputy President Rigathi Gachagua has launched scathing accusations against President William Ruto, claiming the Head of State is systematically persecuting the Mt. Kenya community.
Speaking on June 5th, 2025 during the burial of his aunt, the late Gladys Gathoni Kahua, in Nyeri County, Gachagua expressed deep regret over ignoring earlier warnings from his late aunt about Ruto's political intentions.
"If I had listened to my aunt, we would not be in this mess," said Gachagua. "She warned me that Ruto would first persecute me, then my children, and eventually my community. I didn't believe her then. But today, it is all unfolding exactly as she said."
The former second-in-command accused President Ruto of orchestrating a political purge within key government institutions by deliberately removing individuals from the Mt. Kenya region from top government positions.
He further alleged that a secret directive was issued last Saturday at State House, where Ruto allegedly met regional police commanders and ordered a crackdown targeting members of the community.
"Our greatest concern is the decision made last Saturday at State House, where he summoned all police commanders and ordered an onslaught and persecution of our community, and it has begun in earnest. Out of the more than 400 people who have been arrested, 92% are people from this community... on nothing but trumped-up charges," Gachagua alleged
He singled out Kikuyu MP Kimani Ichung'wah, accusing him of working in tandem with the President to silence dissent and intimidate young protesters
Gachagua claimed that Ichung'wah had pushed for the arrest of Democracy for the Citizens Party (DCP) youth leader in Kiambu County, Peter Kinyanjui alias Kawanjiru, accusing him of involvement in burning of a law court in Kikuyu and raiding a police station in Dagoretti
Source: CITIZEN DIGITAL