Gachagua anatoa kauli kama za Hayati Magufuli. Ndiye ataleta machafuko Kenya

Gachagua anatoa kauli kama za Hayati Magufuli. Ndiye ataleta machafuko Kenya

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Kauli kama hii ni mwiba mkali sana kwa muzee RAO ambaye anajinasibisha kuwa kinara na bingwa wa mabadiriko ya siasa za Kenya.

Jamaa anamponda Odinga na Uhuru na kusema waende wakafanya bargain amendment wa walichopora na siyo kutaka hand shake!

Taarifa kwenye vyombo vya habari vya Kimataifa kuhusu Kenya wao wanasema 👇🏾;
20230328_121206.jpg
 
Kauli kama hii ni mwiba mkali sana kwa muzee RAO ambaye anajinasibisha kuwa kinara na bingwa wa mabadiriko ya siasa za Kenya.

Jamaa anamponda Odinga na Uhuru na kusema waende wakafanya bargain amendment wa walichopora na siyo kutaka hand shake!

View attachment 2568481
soon hawa jamaa watachinjana kikabila. ni muda tu unasubiriwa
 
Sijawai ona hekima ya Rutto toka nimfahamu. Hii ya kutuma watu kuchoma mashamba y na kupora mifugo kwa watu anaowahisi wapo kinyume nae ni kuitumbukiza Kenya katika vurugu zisizokoma.
Kenyatta atabaki kuwa rais mwenye Akuma zaidi hapa Africa mashariki.
Wamemchokoza kupitiliza Mzee Rutto alishasema watafakali vizuri maamuzi yao
 
Wamemchokoza kupitiliza Mzee Rutto alishasema watafakali vizuri maamuzi yao
Wakati wa kuchokozwa ndiyo wakati wa kuonyesha hekima yako.. Toka mwanzo wachambuzi walimuona magufuli ndani ya kiwiliwili cha Rutto.
Anachosahau Rutto ni kwamba Kenya ina mfumo imara wakati pacha wake alikuwa rais wa nchi isiyo na mfumo imara,yeye ndiyo yeye.
Uwezi waendesha wakenya kama wanavyoendeshwa watanzania.
 
Northlands Ni shamba kubwa Sana ambalo linamilikiwa na Rais mstaafu Uhuru Kenyatta, na ndipo ambapo kiwanda Cha kutengeneza maziwa Cha Brookside kilipo.

Jana wahuni walitumwa wakaenda wakalivamia na kuharibu Mali nyingi Sana.
Mifugo waliibwa,miti ikakatws hovyo na kuchomwa Moto.

Cha ajabu Hakuna Askari yeyote aliyesogelea Hilo eneo.
Northlands ni wapi na nn kimetokea huko
 
Raila ni choko tu,amuache Ruto atawale kwa amani,awaletee wakenya maendeleo. Raila apigwe Risasi choko tu,kapewa bilioni moja na uhuru ili araribu machafuko..sasa hiyo si biashara anafanya na damu za wakenya..wakenya ni makondoo
 
Ni zambi kubwa kutomkamata Raila , hata kama fujo itatokea lakini Raila aonje mkono wa sheria, apelekwe Arusha kama Nairobi imeshindikana.
 
Madaraka ni matamu asikwambie mtu anachofanya raila na wafuasi wake ni tusi kwa uongozi wowote duniani,ni kama kumshika dume la simba kende.
 
Back
Top Bottom