TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
- Thread starter
- #21
Awashindwi kumkamata wenzako wanamfahamu na kujua huyo Raila ni nani ndiyo maana wapo makini sana na wazo kama lako.Ni zambi kubwa kutomkamata Raila , hata kama fujo itatokea lakini Raila aonje mkono wa sheria, apelekwe Arusha kama Nairobi imeshindikana.
Kitu kinaweza tokea baada ya hapo utakuja kusema "kwa nini wasingemuacha tu"
Kila nchi ina mtu wake ambaye jamii fulani inamkubali as ilivyokuwa kwenu hapa Tanganyika.