soon hawa jamaa watachinjana kikabila. ni muda tu unasubiriwaKauli kama hii ni mwiba mkali sana kwa muzee RAO ambaye anajinasibisha kuwa kinara na bingwa wa mabadiriko ya siasa za Kenya.
Jamaa anamponda Odinga na Uhuru na kusema waende wakafanya bargain amendment wa walichopora na siyo kutaka hand shake!
View attachment 2568481
Hali ya hatari. Uhuru alipiga U-turn kwenye uchaguzi ndio maanaWamemgeuka kiukweli kweli yaani, hebu fikilia hadi serikali inashiriki kutuma watu kufanya uvamizi kwa mstaafu, unadhani kuna usalama hapo jombaa!.
Wamemchokoza kupitiliza Mzee Rutto alishasema watafakali vizuri maamuzi yaoSijawai ona hekima ya Rutto toka nimfahamu. Hii ya kutuma watu kuchoma mashamba y na kupora mifugo kwa watu anaowahisi wapo kinyume nae ni kuitumbukiza Kenya katika vurugu zisizokoma.
Kenyatta atabaki kuwa rais mwenye Akuma zaidi hapa Africa mashariki.
Hatari sana aseeNa usiku wa juzi kuamkia jana, kwenye kiwanda cha gesi kinachomilikiwa na muzee Odinga, wajamaa wamevamia kuiba na kupora mali.
Wakati wa kuchokozwa ndiyo wakati wa kuonyesha hekima yako.. Toka mwanzo wachambuzi walimuona magufuli ndani ya kiwiliwili cha Rutto.Wamemchokoza kupitiliza Mzee Rutto alishasema watafakali vizuri maamuzi yao
Northlands ni wapi na nn kimetokea hukoHii issue ya Northlands italeta machafuko nchini muda si mrefu
Northlands ni wapi na nn kimetokea huko
Rais mwenye nini?Sijawai ona hekima ya Rutto toka nimfahamu. Hii ya kutuma watu kuchoma mashamba y na kupora mifugo kwa watu anaowahisi wapo kinyume nae ni kuitumbukiza Kenya katika vurugu zisizokoma.
Kenyatta atabaki kuwa rais mwenye Akuma zaidi hapa Africa mashariki.