Gachagua aondolewa ulinzi baada ya kuondolewa madarakani na Senate

Gachagua aondolewa ulinzi baada ya kuondolewa madarakani na Senate

Odinga katumika kumsafisha Ruto, ni bora angekaa pembeni amuache Ruto ajikaange kwa mafuta yake Mwenyewe. Hiki ndio kifo chake kisiasa
 
Watanzia tuna roho mbaya ya kufurahia kuona binadamu mwenzetu anaangamia hata kama hatuna tunachofaidika au kupoteza kwa kuangamia kwake
Kwahiyo mkuu, ulitaka watu wanuonee huruma sababu ya upuuzi wake wa kukiuka katiba huku anafaham anachokifanya!
Ndio maana Afrika hatuishi kapata viongozi wa hovyo sababu hata akifanya mambo ya hovyo mnamuonea huruma. Anguko lake liwe fundisho kwa wengine.
 
Watanzia tuna roho mbaya ya kufurahia kuona binadamu mwenzetu anaangamia hata kama hatuna tunachofaidika au kupoteza kwa kuangamia kwake
Yule pimbi alikua anawatenga Wakenya ubaguzi wao wa kikabila uendelee kuwa zaidi ya sasa kama wao wanamuona ana matatizo wewe Mkelewe unaona yupo sawa hauoni pana tatizo hapo..
 
Back
Top Bottom