Gachagua aondolewa ulinzi baada ya kuondolewa madarakani na Senate

Gachagua aondolewa ulinzi baada ya kuondolewa madarakani na Senate

Umeandika kwa furaha utadhani Gachagwa alikuwa amekuibia. Wabongo mnapenda sana kuona anguko la mtu. Gachagua ameshatoboa financially in life hata akipoteza nafasi ya uongozi.
Licha ya kutoboa, he was fighting for his people. Ruto ni wa kuwa nae makini sana.
 
Gachagua domo Kaya. Yaan bado anachonga na kuamini bado ni Naibu Rais.
Yule ni wale Wakenya asili wenye ubaguzi uliopo kwenye damu bora hata Ruto na anaamini sana katika uongozi na pia alijua huko mbele atakua Rais wa Kenya kwa zile dharau alizokua anaonyesha alijua hawezi kutoka..
 
Back
Top Bottom