Gachagua: Nitahakikisha Ruto na Odinga hawapeani mikono

Gachagua: Nitahakikisha Ruto na Odinga hawapeani mikono

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Akizungumza katika mahojiano na waandishi wa habari, Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amesema “Hata (Raila Odinga) akienda mtaani kufanya ghasia akiamini Rais (William Ruto) atamwalika kwa mpango wa kupeana mkono, hilo halitafanyika.”

Ameongeza “Ikitokea hivyo, nitakuwa nikizurura maeneo ya Ikulu ili mzee huyo akijaribu kupita kupitia mlango wa nyuma anikute mimi.”

Aidha, amesema anaomba vyombo vya habari vitende haki, view tayari kukosolewa kama vyenyewe vinavyokosoa Serikali, akisisitiza kuwa uchaguzi umeisha na Azimio wamepoteza, hivyo wana habari wafanye kazi kwa weledi na malengo.

================

Rigathi Gachagua: We expect the media to know that the elections are over, Azimio lost, we know you went to bed with them, can you stop living in denial and get back to work and work professionally and objectively

Even if he (Raila Odinga) goes to the streets, rioting hoping the President will invite him for a handshake deal, that will not happen. I will be roaming in State House compound so that when this mzee tries to sneak in through the back door he finds me there - Rigathi Gachagua

I request the media to be fair, just like you are free to criticize government and to criticize anything under the sun, you too must allow people to criticize you, affirm you where you do well, encourage you and point out where you are failing. Rigathi Gachagua – Deputy President

Source: Citizen Digital
 
Alisema serikali ni kama kampuni kuna wananchi wako n'a share kubwa zaidi
 
Back
Top Bottom