Elections 2010 Gachuma akanusha madai ya Dk. Slaa

Elections 2010 Gachuma akanusha madai ya Dk. Slaa

Kama kuna ushahidi kama huu,let us test the rule of law.Lets take it to the court,wataalam wa sheria,ugumu uko wapi jamani? Kama hii ingekuwa ni suala la kuandika program ya commputa.ningeishughulikia mara moja.kwani ni fani yangu.wanasheria mko wapi?why why why!! Inaniuma sana.do somethng guys.we trust u.
 
Kusema tu kuwa uko tarime siku ya kikao maana yake wenzako waliotajwa walifanya kikao unafaa kutusaidia ktk uhaini huu mliofanya na wenzako
what are shame people!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:nono::nono:
 
Mtu anapokanusha kitu cha kweli siku zote atatoa sababu isiyokuwa na msingi,na kujaribu kuwafanya wajinga.Ila kwa kweli ndo tushaumia hivyo jamaa watamtangaza ushindi muda si mrefu.Imagine ka hayo malalamiko yangekuwa yanaelekezwa kwa chadema,ikiwepo na yale malori ya kura na tiki ameshapigiwa mgombea lakini eti mbele mbele kama hakuna kilichotokea.Watanzania hatutasahau hili
 
Hivi ikibainika kuwa hakukuwepo na kikao kama hicho itakuwaje?
 
Dr. Slaa ni mtu makini. Huo waraka ameupata zaidi ya siku 10 zilizopita lakini alikuwa anaufanyia utafiti ni wa kweli wala hajakurupuka. Pia ulishasambazwa kwenye mtandao muda mrefu na sasa umeshasomwa na watu wengi dunia nzima.
 
Mkurugenzi wa kampuni ya vinywaji Coca Cola na mjumbe wa Nec mwita Gachuma amezungumza na waandishi wa habari na kukanusha madai kuwa alikaa kikao na J. Kikwete, Ridhiwan, Rostam Aziz na Lowasa. Amesema kuwa yeye hawezi kukaa katika hoteli ya La-Kairo ambayo haina hadhi kuliko hoteli yake ya Mwanza Hoteli na kwamba siku ya kikao alikuwa Tarime.

Yeye atakanushaje aliyosema Dr Slaa? Dr Slaa alikuwa anasoma barua rasmi ya serikali, aende akamlaumu Bw Wilson Kabwe na amuulize kulikoni aliweka jina lake ilhali yeye alikuwa Tarime. Watatoana macho wewengoja tu, na mengi tutasikia.
 
Hivi ikibainika kuwa hakukuwepo na kikao kama hicho itakuwaje?

Atakayeulizwa ni Wilson Kabwe alipouandika na kuu saini alikuwa ana maana gani? Tunamtaka yeye atoke hadharani na kuukana.
 
kina kinana na wenzake waende mahakamani ili wadhuhirishe ukweli wao.
 
Kama Dr. Slaa ana quote hii barua kama ushahidi wa kuibiwa, basi bora akubali matokeo tu. Mbona hata huhitaji akili kubwa kujua hiyo barua ni fake?

Ikipelekwa mahakani, anayepeleka hata anaweza kuchekwa. Hii inafaa kutumika tu kama propaganda tool kwenye vijiwe na JF.
 
Au inawezekaana walifanya teleconference na Kabwe akaambiwa aandike muhtasari na barua elekezi! hata hivyo Gachuma hana excuse! Ajibu hoja!
 
Back
Top Bottom