GADIEL MICHAEL MMBAGA

GADIEL MICHAEL MMBAGA

Ajiandae kupigwa msumari tu na zimbwe jr maana nasikia yeye ndo mbeba mikoba pale msimbazi...
 
Yaani huu uzi hadi unafika kurasa ya nne yule POPOMA anayeshindaga kwenye duka la mke wa Gadiel pale Morroco hajaweka neno lolote, siamini kabisa
POPOMA njoo asee
 
Sasa ni rasmi Gadiel kasajiliwa Simba kwani jina lipo kwenye listi ya majina yaliyopelekwa CAF kwa ajili nya ligi ya mabingwa. Kiukweli Simba ilihitaji beki wa kushoto wa kumsaidia Zimbwe zaidi ya Gadiel. Kwani Zimbwe na Gadiel kiasi kikubwa uchezaji wao unafanana sana. Ilibidi walete mchezaji mwenye uchezaji wa tofauti na Zimbwe. Anyway kwenye ligi ya bongo hakuna shida ila kwenye CAF league ndio mapungufu yataonekana.

Shida nyingine kubwa kwa Simba itakuwa mbavu ya kulia kwa Kapombe. Ukiangalia usajili wa Simba uliotumwa CAF nafasi ya beki namba mbili kama imesahaulika kabisa kwani Kapombe huwa anakumbwa na majeraha mara kwa mara. Yaani hapa ndio naishangaa kamati ya usajili sijui imefikiria nini labda kama wana mpango wa kumtumia Nyoni kulia wakati Kapombe atakapokuwa majeruhi
WALE MABEKI WA KIBRAZIL WANAUWEZO WA KUCHEZA BEKI 2+ ERASTO, WALE USIOGOPE
 
Wachezaji wa Tanzania sijui huwa wanaogopa nini? Kwa nini wanashindwa kuwa wawazi kwamba mimi naondoka msimu ujao siyo leo unataka dau hili timu inakubali dk za mwisho unagoma unapandisha wanakubali,then unapandisha tena. Kuweni proffessional na msimamo,hakuna klabu inayo zuia mchezaji anae maliza mkataba kwenda anapo pataka. Lakini siyo kupotezeana mkataba.

Wanaziona tunguli na waganga wanavyopishana tangaza usifanikiwe
 
Wacha unafiki, alipokuwa Yanga alikuwa boya na hafai sasa kaja kwenu ndiyo mnashupaza bonge LA beki. Watz unafiki huu hatuwezi endelea.
Kutokana na hali ilivyokuwa Yanga, hakukua na namna yoyote nyingine ya kupata mchezaji mzuri zaidi.
 
Back
Top Bottom