Tena sana!Marehemu alikuwa na mdomo sana
Mzee wa kupishana na ubingwa amezoea kuona chengaHata ubingwa wataukosa mwaka huu wanae Ajibu asie bahati ya ubingwa
Yuko uko Instagram ana pambana na hali yake!Hivi Ajib hakuwepo kikosini??
Bonge la wikiend kwangu! Mikia out
Tumeanza na ngao ya jamii Ajib akiwa Simba, endelea kuloga tu.Hata ubingwa wataukosa mwaka huu wanae Ajibu asie bahati ya ubingwa