LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Kocha Simba mtoe Gadiel Michael aingie Tshabalala. Gadiel Michael hana " nyota ya ushindi " . Tshabalala ana " nyota " ya ushindi.
I am a die hard fan of Dar Es Salaam Young Africans but nataka Simba washinde..
Ni fedheha sana kuwa na mtani anae fungwa na timu ya kitoto kama AD Songo
Update: kaingia Tshabalala Simba wamepata goli. Nyotaaaaa