Gadiola amenipa funzo

Gadiola amenipa funzo

kluger

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
2,093
Reaction score
1,899
Nimeamini mpira na timu bora ni mbinu za soka toka kwa kocha.
Wakati huo huo wachezaji wanaojielewa na wenye vipaji.
Gadiola kafanya makubwa kuunda timu inayoelewana na yenye mbinu za mchezo.
Msimu uliopita alichezea sana vichapo, lakini sasa kaja kuwashika !!
Ligi bado!!
 
Man City football club inawatakia usiku mwema....
 
Back
Top Bottom