Gadna amjibu Jide, akataa kuomba msamaha

Gadna amjibu Jide, akataa kuomba msamaha

Mimi niliwahi kuuliza humu, ni wapi jina la Jide lilitajwa kwenye ile video clip? Hata kama kimaudhui alimkusudia huyo, lakini kisheria huwez kuthibitisha pasi na shaka kuwa aliyetajwa ni Jide. Sheria ni ngumu jamani. Nadhan kila mmoja aendelee na hamsini zake!
Nikakuunga mkono kwa kusema circumstantial evidence haziwezi kuingia hapo. You had good point to argue.
 
Hawa bado wanapendana ingawa akuna anayetaka kuonyesha hisia kwa kudhani kua atadharaulika kwa watu
 
Aibu Yao wenyewe, mi ngoja niendelee kumimina machozi ya Simba Tu hapa.
 
Huu mchezo hauhitaji hasira. Kwa haraka haraka, naona kama ni gema fuleni hivi ya kuvuta watu!!
 
Back
Top Bottom