Gadna amjibu Jide, akataa kuomba msamaha

Nikakuunga mkono kwa kusema circumstantial evidence haziwezi kuingia hapo. You had good point to argue.
 
Hawa bado wanapendana ingawa akuna anayetaka kuonyesha hisia kwa kudhani kua atadharaulika kwa watu
 
Aibu Yao wenyewe, mi ngoja niendelee kumimina machozi ya Simba Tu hapa.
 
Huu mchezo hauhitaji hasira. Kwa haraka haraka, naona kama ni gema fuleni hivi ya kuvuta watu!!
 
Daaah!! Kiinglish cha sheria nacho pasua kichwa, ila fresh tuu kwasababu hapo lazima capiteiiinn kachomoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…