Kwani hao Times wana ugomvi na Clouds hadi kuwachukulia wafanyakazi wake kwa kasi ya ajabu hivyo? Halafu huyu Gadna si alisema kuwa anapumzika ili aiimarishe Nyumbani? Kweli duniani wanafiki hawaishi amani! Yaani sikutegemea kabisa kuwa mtu mtaarabu kama Captain angeweza kufanya mambo ya kipwani kama haya.
Nafikiri maisha ya utangazaji anayapenda zaidi, na ameona bora kwenda Times Fm kuliko kurudi Clauds Fm kwenye Jahazi kwa sababu kuu tatu
1/Jahazi la Clauds Fm limepoteza mwelekeo(Limekuwa kama idara ya propaganda za magamba na Serikali ya JK)
2/Uwepo wa watangaziji wengi kwenye kipindi cha jahazi, kwa sasa lina Ephraim Kibonde, Anold Kayanda na Wasiwasi Mwabulambo.
3/Malipo duni ya Clauds Fm
Ni katika mihangaiko 2 ya maisha kwan kuna lipi la kustaajabisha hapo?
Hivi Mmiliki wa hii Times Fm ni nani?
mambo ya mimba ni majaaliwa ya Mwenyezi Mungu sio suala la kumkashifu mtu, hujafa hujaumbika sidhani kama wana furahia kukosa mtoto ni Mungu tu ndiye mwenye maamuzi kuhusu hilo. Tusimkufuru Mungu jamani
!The rise and fall of clouds FM.
Kwani hao Times wana ugomvi na Clouds hadi kuwachukulia wafanyakazi wake kwa kasi ya ajabu hivyo? Halafu huyu Gadna si alisema kuwa anapumzika ili aiimarishe Nyumbani? Kweli duniani wanafiki hawaishi amani! Yaani sikutegemea kabisa kuwa mtu mtaarabu kama Captain angeweza kufanya mambo ya kipwani kama haya.
Hawa akina Kipanya,Fina?Njogopa, Tayna na Bandago wanafanya vipindi gani?
Hivi Times FM haimilikiwi na Business times wamiliki wa gazeti la majira?Mmliki wa B'HEATS(HERMY B),n m1 wao..
Hivi Times FM haimilikiwi na Business times wamiliki wa gazeti la majira?