Gadna G Habash kurudi tena kusikika redioni

Gadna G Habash kurudi tena kusikika redioni

kama sikosei times fm bosi wao ni taj liundi ambaye pia aliwahi kuwa mtangazaji wa clouds...acha aibomoe criminal empire
 
mambo ya mimba ni majaaliwa ya Mwenyezi Mungu sio suala la kumkashifu mtu, hujafa hujaumbika sidhani kama wana furahia kukosa mtoto ni Mungu tu ndiye mwenye maamuzi kuhusu hilo. Tusimkufuru Mungu jamani

Mi sijaona km majany amekashifu hapo.
 
Back
Top Bottom