Wa kusoma
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,454
- 2,975
Mtangazaji Gardner G. Habash ametangazarasmikurejea katika Kituo chake cha kazi cha awali,CloudsFM akitokea EFM, na kuendelea kuunguruma katika kipindi chake kile kile cha JAHAZI.
Hatua hii imekuja baada ya watangazaji Gerald Hando na Paul James kuondoka Clouds Media Group
Hatua hii imekuja baada ya watangazaji Gerald Hando na Paul James kuondoka Clouds Media Group