POPOMA tunashukuru kwa uzi usio na uongo
Akhsante Mkuu ila POPOMA Shangazi yako.
Ila haya mambo huwa hayapendezi na wala sio ustaarabu kwa GT.We utabaki kuwa POPOMA tu!
Ila haya mambo huwa hayapendezi na wala sio ustaarabu kwa GT.
Mmmmmhhh kwani wakina kipanya nao wanarudi???
Ni kweli kabisa na tarehe 1/4 walishiriki PB kwa kusoma magazeti.....ilikuwa safi sana mkuu. Wiki ijayo wataanza rasmi na ujio mpya wa Clouds Fm.Panya karudi zake shimoni kujificha na Embe karejea zake mtini ili akomae vizuri.
Mkuu usijali huyo member ananitania tu na ndiyo maana hata mimi nimemjibu kiutani pia. Napenda sana jokes na ndiyo maana utaona members wote siku hizi wameshazoea sasa na wananiita hivyo ila ni katika hali tu ya kunogesha jukwaa. Pole kama umejisikia vibaya Mkuu.
Du! Gentamycine umeokoka siku hizi?.Hapa tunaokufahamu yangeshashuka matusi yasiyo na idadi,nakushauri usiwe hivi.Uwe kama zamani,mzee wa majigambo,misifa,unayejifanyaga unajua kila kitu bila kusahau na uongo.
Ni kwa muda tu mkuu...kuanzia j3 hiyo inakuwa ni session ya Masoud Kipanya na Fina MangoHalafu eti magazeti pb wamemwachia fredwaa!!