libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,465
- 3,615
TutaboreshaKipindi cha leo tena kimekaa kifala fala siku hizI...wameweka na wanaume..nao wamekua km mashoga uongeaji mpk kushushuana hasa mussa...sikipendi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TutaboreshaKipindi cha leo tena kimekaa kifala fala siku hizI...wameweka na wanaume..nao wamekua km mashoga uongeaji mpk kushushuana hasa mussa...sikipendi
Wajinga day mwisho 10:00.
Sawa muda utaongea
Jimmy Kabwe jina lake halisi alilopewa na wazazi wake ni JUMANNE KABWELA! Akaona soo kutumia hilo jina akalibadili liwYes hapo CLOUDS ilikuwa juu sana, hawa walikuwa watangazaji bora Clouds:
- M.L Chris,
- Bobby,
- Fina Mango,
- Masoud Kipanya,
- Jimmy Kabwe,
- Seven Mosha,
- Terrence, wengine nimewasahau majina.
O.J na Jimmy Kabwe sasa wako Choice FM.
Akhsante=ahsanteAngalia Angalizo Langu Hapo Juu Kuwa UZI Huu Hauhusiani Na Dhana Nzima Ya Siku Ya Leo Ya Wajinga. Ila Kama Una Access Na Mtu Yoyote Senior Wa Clouds Media Group Mtafute UMUULIZE Kisha Utajua Kama Nimeongopa Na Namaanisha Nilichowaletea Hapa. Akhsante!
Kibonde naye ni wa kupigwa tu chini.Colabo ya G habash na kibonde itarud tena ntasikiliza jahaz ss
Yule ni Mwanaume wa DarKipindi cha leo tena kimekaa kifala fala siku hizI...wameweka na wanaume..nao wamekua km mashoga uongeaji mpk kushushuana hasa mussa...sikipendi
Employee need financial reward and personal fulfillmentHuyu nae atakuwa hajielewi,Mara TIMES FM,E-FM leo anarejea Mawingu mhhhh!!!!!!!!!!!!! akapimwe si bure
Brother ratiba ya ujenzi wa Taifa sijaiona hapo, au wewe ni mtoto wa Hemed Bakayoko?Mimi nikishasikiliza muhtasari wa magazeti Radio one asubuhi, saa saba Mchana naingia kwenye website ya DW nasikiliza taarifa za habari za ulimwengu. Baada ya hapo ni hadi saa kumi na mbili na nusu jioni nasikiliza BBC, muda mwingine wote nipo na JF na najiona nipo current sana na habari. Hao sijui Fina, Kipanya na wengineo hata siwajui. Naona watu humu wanawafahamu in detail, daah! Hatufanani aisee
Fursa kaka,vijana wanapiga pesa kupitia vipaji.hata ikija kwako usiache.Gardner aliuza sana kwa jahazi,wenye kampuni wakigundua hilo watakurudisha kwa gharama yoyoteHuyu nae atakuwa hajielewi,Mara TIMES FM,E-FM leo anarejea Mawingu mhhhh!!!!!!!!!!!!! akapimwe si bure
Hahaha....JF na kujenga taifa vinakwenda sambamba..huwezi kujenga Taifa bila kupenyeza macho yako JFBrother ratiba ya ujenzi wa Taifa sijaiona hapo, au wewe ni mtoto wa Hemed Bakayoko?
Vipi yule mwenye maneno mkola nyani sijui kafanya nini...je katumbuliwa au kapeta?Mkuu Hujafurahi Kama Mimi Nilivyofurahi. Yaani Sijui Niwape Pongezi Gani Uongozi Mzima Wa Clouds Media Group Kwani WAMENIKUNA PANAPOTUKUKA Na Sasa Mimi Na Clouds FM Na Clouds FM Na Mimi. Nilipowasikia Akina Dada Fina Na Kaka Masoud Kipanya Asubuhi Na Kuthibitishiwa Kuwa Wamerudi Nyumbani Rasmi NILIRUKA Kwa Furaha Kubwa Mno.
Pamoja na yote kubali kataa... Hando na Pj wamewaacha mbali sana hao.... Nakumbuka kipindi Fina na masudi wakiwa watangazaji wa clouds.. Hando alikua akichambua magazeti kwa Muda mdogo tu lkn ilitosha kabisa kutambua kua aliwazidi uwezo hao..... Ila kama wenye chao wameamua si kesi na si deni.Unawafahamu vizuri Masoud Kipanya na Fina Mango au ndio umewasikia leo? Maana watu wa mikoani mna tabu sana mshazoea matangazo ya redio Abood.
kuna jamaa aliweka uzi hapasiku chache nyuma kuwa, PJ, Mwihava na Hando hawatakuwa tena na clouds power breakfast kuanzia tarehe moja april, kweli leo asubuhi nakutana na sauti za Fina na Masoud kwenye power breakfast, ila fedwa na Babrah bado wapo. by the way Hando na PJ ndo walikuwa wananifanya nisikilize PB. Ngoja tuone kama fina na masoud wateweza kurejesha ile ladha asili ya PB iliyokuwa kabla hawajaondoka clouds.
binadamu anahama sehemu moja kwenda sehemu nyingine kutafuta maslahi.. ie. wazungu walitoka huko ulaya na kuja afrika kutafuta maslahi..kama wewe unataka atulie tuu sehemu moja kwenye ubongo wako kutakua na virus vya umasikini na upunguwani maaaa ni na..Huyu naye hatulii asije kuwa anatumika kama toilet paper.
Kama wewe unavyochezea muda wako hapa JF, hii ni ishara kwamba hata gari huna kenge wewe, watu tunasikiliza redio kwenye magari yetu kwenye foleni za Dar.watu mna muda wa kuchezea, ati mnasikiliza redio