Gadner G. Habash arudi rasmi Clouds FM

Ndio Umeshawahi Kuleta Uzushi Humu Ndani Kuwa Clouds Imeuzwa Kwa Yusuph Manji..... Halafu Leo Unasema Clouds Wamemrudisha G. Habashi, Labda Nimsikie Ndio Ntaamin Bila Hivyo Siwezi Kukuamini...!
Huyo ni muongo wa kutupwa...
 
Wewe kuna gari zuri kama starlet
Weeeee?!!!!
Ikiwekwa rim nzuri
Alafu unakuta ni GLANZA
Gari gani unakuta speed yake
 
Sa kumi kamili nilifungulia hiyo redio kumsikiliza mana nilipendaga utangazaji wake... Matangazo meengi.. Mpaka sa kumi na moja kasoro sikumsikia labda kama kaja baada
Nakumbuka it was like kumi na mbili kasorobo nilipotune clouds nlimskia akiwa na kibonde na mwingine ana sauti nzito sijui nani! Kabla ya hapo nlisikiliza efm alikuepo Seth( bikira wa kisukuma), Mpoki na mwingine simfahamu
So its true jamaa yupo clouds labda kama nimemix sauti yake na mwingine
 
Labda
 
Umechaganya sauti gadner hajarudi clouds
 
Lazima unamchanganya G.Banto...! Gardner hajarudi Clouds...
 
Mtangazaji mahiri nchi aliyevuma sana na kipindi cha Jahazi cha CloudsFm kabla ya kuhama radio hyo amerejea tena kwenye Radio hyo yenye makazi yake Mikocheni Jijini Dsm. Gadner ameonekana Katika picha akisaini mkataba mbele ya mmoja wa Maboss wa Radio hiyo Shaffih Dauda na inasemekana atarudi pale Jahazini hivi karibuni.
 

Attachments

  • 1459830623971.jpg
    36 KB · Views: 57
Kakimbizwa na nini huko Efm? Au ni kweli Jide ni mmoja wa Wabia wa Efm?
 
Atulie sehemu moja afanye maisha. Kuhamahama sio kufanikiwa atamaliza radio zote mjin
 
He is back,Hongera mleta mada
 

Attachments

  • 1459832509936.jpg
    31.4 KB · Views: 37
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…