gadner g habash na mke wake

Status
Not open for further replies.

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Huyu jamaa amechangia sana kuuwa muziki wa kizazi kipya na wanamuziki kuwa masiki akisaidiana na mke wake ambaye bado hawajafanikiwa kupata mtoto.
Walianzisha kampuni iliyoitwa JAG ambayo ilikuwa ikijulikana. Kama jay dee and gadner kama unakumbuka waligungua na studio jag record.
Kupitia jag record waliwamiliki dudubaya huyu mpaka leo anahasira na kisasi na gadner na jaydee mauzo ya album ya mpenzi yote walitia kapuni yeye akiambulia milioni 1 tu
Mr blue baada ya kutoka wakamtia maneno akahama umeneja kutoka kwa g lover mpaka kwa gadner walichomfanya ni kile kile mpaka leo hana kitu
Mandojo na domokaya baada ya kufukuzwa na majani pia waliwadaka ile album ya nikupe nini walisimamia wao wamewanyonya sana wakaka wa watu
Kifupi pesa mbuzi zao zimetokana na kuzurumu watu ndio maana wanaenda kwa kusua huku mikosi haiwakauki na sasa full kulalamika ili wenye uwezo mdogo wa kufikiri na kujua mambo wawaonee huruma
 
Jifunze kuandika kwanza ndio ujifunze fitina na majungu vizuri.
 
we jamaa una lako jambo..since morning ni wewe na jaydee tu?
au ndiyo ruge & co.?
una mambo ya.....
 
Wewe utakuwa unatafunwa wewe si bure
 
Nadhani kuna kamati maalum ya kuandika thread za Jidee.
 

Sawa kabisa,na ndo mana Gadner hana la kusema sa iz na inabidi awe mpole kwa kuwa anajua madudu aliyoyafanya,nae anapotea pole pole maana malipo ni hapa hapa duniani.
Umesema kitu cha.maana ambacho.watu hawakijui isipokuwa wanashabikia kia tu
 
Bado Hujapata mtu wa kukukuna M
???
 
mm najiuliza hasa kunanini mbona jide kaandamwa sana??

Kama hicho kibibi kimeandamwa Clouds sijui ndo inakuwaje sasa maana siku hizi watu hata wakijamba wanasingizia Clouds ndo wamewafanya wajambe.
 
ivi aka ka shoga 2030 kana matatizo gani! Yaan kenyewe kazi yake kumchafua! Kwanza akajui kuandika vizuri maneno yake, niwazi ya kua wewe ni shoga
 
mvua kubwa kunyesha leo nyumbani lounge sijui itakuaje bora msiende jamani
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…