Pukudu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 3,149
- 2,232
mm najiuliza hasa kunanini mbona jide kaandamwa sana??
Huyu asubuhi alianza ooh Jide katembea na Chidy Benz sa hivi kaja na hili cha kujiuliza JF kuna nini? Hadi watu wanalipwa kuja kupaka au kusafisha watu siku 3 hivi Radio super brandy ya mashoga inatumia mamluki wa kutosha wamejazana kule celelebrity forum wanaanzisha thread za kumponda Anaconda na kujijibu wenyewe